Fursa mbalimbali kwa ajili ya Wajasiriamali wa Tanzania

Katika Kilimo

Fursa mbalimbali kwa wajasiriamali Katika masuala ya Kilimo

Kutoka mikoani

Fursa mbalimbali kwa wajasiriamali Kutoka mikoani

Kusafirisha bidhaa nje ya nchi

Fursa mbalimbali kwa wajasiriamali katika kusafirisha bidhaa nje ya nchi

Kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

Fursa mbalimbali kwa wajasiriamali katika Kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

Bomba la mafuta (Hoima hadi Tanga)

Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Kabale Hoima nchini Uganda hadi Chongoleane Tanga umefungua na utafungua fursa nyingi kwa watanzania. Hii ni kutokana na ukweli kuwa asilimia 80 ya bomba hilo litapita Tanzania.