Tovuti ya Mjasiriamali ambayo itakuwa inapatikana katika anuani hii www.mjasiriamali.co.tz ina malengo yafuatayo:
- Kutoa Taarifa na Elimu ya Ujasiriamali kwa watu wote mahali popote Tanzania
- Kuchochea Ujasiriamali na kuongeza Maarifa kwa mjasiriamali mmoja mmoja
- Kuwatangaza Wajasiriamali na kazi zao
- Kuwaunganisha Wajasiriamali na wadau wengine
- Kuwasaidia Wajasiriamali kuuza bidhaa zao