Pokea Huduma

Unaweza kupata huduma mbalimbali kupitia Tovuti Ya Mjasiriamali moja kwa moja lakini pia tunaweza kukuunganisha na watoa huduma mbalimbali.
Huduma za moja kwa moja kupitia Tovuti Ya Mjasiriamali  zinaletwa na AMOZI ENTERPRISES ambao ndio waanzilishi na waendeshaji wa Tovuti Ya Mjasiriamali

Huduma zifuatazo zinapatikakana kupitia Tovuti ya Mjasiriamali kwa  kushirikiana na wadau mbalimbali:

  • Jinsi ya kuanzisha biashara
  • Andiko la Biashara
  • Uundaji wa Tovuti za Biashara
  • Vitabu vya Ujasiriamali
  • Video za Ujasiriamali (MjasiriamaliVideo)
  • Ushauri katika mambo ya fedha na biashara
  • Huduma za mikopo kwa Wajasiriamali (Kupitia watoa huduma husika)
  • Mauzo na matangazo ya bidhaa/huduma kupitia tovuti
  • Elimu na mafunzo endelevu ya Ujasiriamali (Mjasiriamali Academy)

 

Wasiliana nasi kupitia:

Tovuti Ya Mjasiriamali,
Mjasiriamali Development Project,
AMOZI ENTERPRISES,
S.L.P 35850, Dar es Salaam, Tanzania

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Simu: +255 784 899 400