Zifuatazo ni baadhi ya faida ambazo zinatokana na ujasiriamali
- Ujira binafsi na nafasi za ajira kwa watu wengi
- Kupunguza umasikini miongoni mwa watu
- Kutumia ipasavyo rasilimali tulizonazo
- Matumizi sahihi ya rasilimali watu
- Ujasiamali hutupa mwanga katika kufanya na kuanzisha shughuri mpya
- Kukuza na kuendeleza uchumi katika nchi
- Kupunguza kiwango cha umasikini miongoni mwa watu
- Kupunguza tofauti katika maendeleo baina ya watu, mikoa, nchi n.k